HAPA TINGA TINGA LIKIUVUNJA MSIKITI
Kuna khabari kwamba serikali ya Angola imepiga marufuku Dini ya Uislamu
Kwa mujibu wa khabari zilizo naswa katika mitandao zaidi ya mia moja zinasema kwamba,Serikali ya Angola imetangaza rasmi kutoitambua Dini ya Uislamu nchini humo.
Kwa mujibu wa sheria ya nchi hiyo,sasa inakuwa ni haramu kwa mtu yeyote kuwa ni muislamu.
Katika hali inayoenesha kutekelezwa kwa sheria hiyo,misikiti 80 imevunjwa nchini Angola.
Maamuzi hayo ya kuipigia marufuku Dini ya Uislamu imepokewa vibaya na waislamu mbalimbali duniani.
Khabari hizi ni kwa Hisani kubwa ya www.jihadwatch.com
HUU NI MMOJA WA MSIKITI ULIOBOMOLEWA NA SERIKALI YA ANGOLA BAADA YA KUTANGAZA KUPIGA MARUFUKU DINI YA UISLAMU NCHINI HUMO
0 comments:
Post a Comment