Wakati Baadhi ya Waislamu wa Tanzania wakiwa wazito katika katika utoaji wa zakkah,Ofisi
inayoshugulikia ukusanyaji na utoaji wa Zakkah ya Wilayatul Islamiah
ya Gedo imeendelea kwa kasi katika vijiji kadhaa na wilaya zilizopo
chini ya Mkoa wa Kislaam wa Gedo kusini mwa Somalia.
Mikoa yote na wilaya zinazotawaliwa kwa Sheria za Kislaam kuna harakati za ukusanayaji wa Zakkah ambapo mikoa hizo ni kati ya Mikoa ya Kusini,na kati mwa Ardhi ya Somalia,Maofis wanaohusika na kitengo cha Zakawati wameliambia vyombo vya habari kuwa wananchi wanaendelea kutoa zakkah hizo zilizowajibu kwao.
TIZAMA PICHA HAPO CHINI.

0 comments:
Post a Comment