Rais wa Sierra
Leone Ernest Bai Koroma kwa mara nyengine amekataa kutia saini mswada
unaodhinisha uavyaji mimba akisema unafaa kupigiwa kura ya maoni.
Baada ya majadiliano,wabunge waliurudsha mswada huo kwa kiongozi huyo bila kufanyiwa marekebisho yoyote.
Uavyaji mimba ni kinyume cha sheria nchini Sierra Leone na makundi matano ya haki za kibinaadamu nchini humo yamemuandikia rais Koroma mnamo mwezi Februari yakimtaka aidhinishe mswada huo.







0 comments:
Post a Comment