Mar 8, 2016

INNAA LILLAAH WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN; SHEIKH MUHAMMAD BAKAR, AMEFARIKI

 

 Hakika jicho linatoa chozi na moyo unahuzunika, lakini hatusemi ispokua linalomridhisha Allaah s.w:
إنا لله وإنا إليه راجعون
  Ametutangulia mbele za Haqq mmoja katika wanazuoni wa Africa mashariki mudir wa Shamsul Maarif Tanga Sheikh Muhammad bin Abiybakr Alburhaan.

 Allaah amrahamu na amueke pema na atupe badala yake yaa Rabb.


Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba maziko yatafanyika kesho baada ya adhuhri Duga katika Mahdi yake, mkoani Tanga.

Taarifa hizo zimeeleza zaidi kwamba msafara wa masheikh na wapenzi wa Sheikh Muhammad Bakar utaondoka kesho hiyo hiyo kuanzia Msikiti wa kichangani mara baada ya Swala ya Asubhi.

KWA HAKIKA SISI WAJA WA ALLAH NA KWAKE TUTAREJEA

0 comments:

Post a Comment