Maafisa katika Vatican makao
makuu ya kanisa katoliki, wanatarajariwa kuhojiwa na maafisa wa Umoja wa
Mataifa kuhusu dhuluma za kingono ambazo makasisi wa kanisa hilo
waliwatendea maelfu ya watoto.
Kashfa katika kanisa katoliki
Ujerumani-Kasisi aliyejulikana akama Andreas L, alikiri mwaka 2012 kuwa aliwalawiti, watoto watatu wa kiume.
Marekani – ufichuzi kuhusu makasisi wawili Paul Shanley na John Geoghan waliowalawiti watoto mapema miaka ya tisini ,iliwaghadhabisha watu wengi sana.
Ubelgiji - Askofu Bruges, Roger Vangheluwe, alijiuzulu Aprili mwaka 2010 baada ya kukiri kuwalawiti watoto wavulana kwa miaka mingi
Italy – Kanisa katoliki mnamo mwaka 2010 ilikiri kuwa visa 100 vya makasisi kuwalawiti watoto viliripotiwa kwa zaidi ya miaka kumi
Ireland – Ripoti iliyotolewa mwaka 2009 iligundua kuwa visa vya makasisi kuwalawiti watoto vilitokea sana mapema karne ya ishirini.

Kanisa hilo limekosolewa kwa kukosa kuchukua hatua za kutosha kuhusiana na madai ya dhuluma za kingono kanisani.
Mwezi jana, Papa Francis alitangaza kubuni kamati ya kukabiliana na visa vya dhuluma za kingono dhidi ya watoto kanisani pamoja na kutoa ushauri nasaha kwa waathiriwa.
Pia alitilia mkazo sheria kadhaa za kukabiliana na watuhumiwa wa dhuluma za kingono na kupanua zaidi maana ya uhalifu.
0 comments:
Post a Comment