Jan 4, 2014

AL SHABAB YAWASAMBARATISHA WAKIOSHEREHEKEA MWAKA MPYA

Mujahidina washambulia kwa Makombora kambi ya wanajeshi wa AMISOM waliokuwa wakisherekea Mwaka mpya!.

Written by Kiswahili on .
somalimemo.net 

Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen juzi usiku walizishambulia kwa makombora mazito Kambi ya wanajeshi wa Kigeni na yale ya TFG mjini Mugadishu.


Afisa moja wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ameliambia waandishi wa Habari kuwa juzi usiku wanajeshi wao walishambulia kwa makombora mazito Kituo kikuu cha wanajeshi wa Amisom kilichopo mjini Mugaidishu.



Duru ziliarifu kuwa wakati wa Shambulio katika kituo hicho cha wanajeshi wa Amisom kulikuwa na Sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya ambapo Maofisa wa Kijeshi wa Kiafrika na wazungu walikuwa wakisherekea ndani ya Kituo cha Halane ambayo ndio kituo kikubwa cha wanajeshi wa Amisom nchini Somalia.

0 comments:

Post a Comment