Dec 21, 2013

Shirika la Twitter yafungia ukurasa wa Al-qaida tawi la Maghrib Al Islam.

somalimemo.netShirika la Mtandao wa Kijamii wa Twitter imeanza kuiwekea vikwazo kwa makundi ya Kijihadi ulimwenguni pamoja na watu wanao unga mkono fikra ya Jihadi.

Kwa mara ya kwanza Shirika la Twitter limeifungia Ukurasa wa Al-Qaida tawi la Afrika Magharibi-Maghribul Islaam,Anwani ya ukurasa @Andalus_Media iliyokuwa ikitangaza Harakati za Jihadi wa Al-Qaida tawi lake la Afrika Maghribi limefungwa.


Maelfu ya waandishi wa Habari wa Nchi za Kimagharibi na Waislaam walikuwa wakifuatilia Habari za Harakati ya Al-Qaida Maghribul Islaam pia Ukurusa mwingine wa Africanmuslim iliyokuwa karibu na Mujahidina wa Al-qaida nalo limefungiwa.

Mitandao za Kijamii hutumiwa na Mujahidina kote ulimwingune ili kufikisha ukweli wa yale yanayoendelea pamoja na harakati za Jihadi kitendo kilichosababisha kujikusanyia mamilioni ya wafuasi wengi kote Duniani.

Mara kadhaa shirika la Twitter limeifungia Accounti nyingi za Harakat Al-Shabab Al Mujahideen iliyokuwa nao kwenye mtandao huo na Shirika hilo Madai yake iliyokuwa kuwa inalinda "uhuru wa Watu limekuwa" Uwongo.

0 comments:

Post a Comment