Aug 19, 2013

DAMU YA SHEIKH PONDA NI UKOMBOZI KWA WAISLAMU.

Waislamu jana walifurika katika msikiti wa mtambani uliopo kinondoni jijini Dar es salaam ili kujulishwa ukweli wa kadhia ya sheikh Ponda Issa Ponda.

mwito huo uliandaliwa na kamati ya shura ya maimamu ilikuwa na dhamira ya kuelezea ukweli juu ya mkasa wa kupigwa risasi sheikh Ponda.

kulikuwa na masheikh mbalimbali waliozungumza ambao kwa ujumla wao waliitaka serikali kuunda tume