Nchi za Urusi,Misri
na Senegal zimepinga mapendekezo ya adhabu ya kurejeshwa nyumbani kwa
kikosi kizima cha kulinda amani iwapo itabainika askari kufanya ukatili
wa kingono.
Badala yake wametaka adhabu hiyo kuwalenga askari
watakaobainika tu.
Mapendekezo hayo yanaungwa mkono na katibu mkuu wa umoja wa mataifa,Ban Ki-Moon ambaye ameliambia baraza la usalama kutilia mkazo jambo hilo.
Adhabu hiyo imetajwa kuwa itatakiwa kumlenga mhusika tu na si kikosi chote.
0 comments:
Post a Comment