Mar 18, 2016

BAADHI YA MATUKIO YALIYOJIRI KATIKA BONANZA LA QIBLATAIN SCHOOL

Qiblatain English Medium Primay School, jana ilifanya Bonanza la aina yake katika viwanja vya Jakaya Kikwete Jijini Dar es salaam.

katika bonanza hilo liliwajumuisha walimu ,wazazi na wanafunzi, matukio mbalimbali yenye kulipamba bonanza hili yalijiri.

yafuatayo ni baadhi ya matukio hayo kama yalivyo naswa na mpiga picha ALLY SHAABAN kutoka Qiblatain School.


 HII NI SEHEMU YA MICHEZO WALIYOIFURAHIA WATOTO WA QIBLATAIN.

 BAADA YA KUCHEZA NA KUSHINDANA,SASA NI WAKATI WA MAHANJUMATI,NDIYO WANAVYOONEKANA KUSEMA WATOTO HAWA IKIWA NI BAADHI YA WATOTO WALIOSHIRIKI TAMASHA HILO NA KUVUTIA HISIA ZA WALIOHUDHURIA.

 Baadhi ya walimu na wazazi wakifuatilia bonanza hilo.



 zawadi (medani ya shaba,medani ya fedha,medani za dhahabu na vikombe vitatu ,viliandaliwa maalum na shule ya Qiblatain kwa ajili ya kuwapongeza washindi.
 Medani zikiwasubiri washindi.

 mgeni rasmi mbali ya kumkabidhi mtoto huyo medali ya shaba,lakini pia akimpongeza kwa umahiri wake.


 Mwalimu Almas ,akipokea kikombe ikiwa ni zawadi ya jumla kwa timu yake ya Zebra,baada ya kuibuka washindi wa jumla katika bonanza hilo na kujizolea zawadi kedekede.

 Baadhi ya wajumbe wa kamati ya maandalizi,wakitambulishwa mbele ya waliohudhuria.



Mwalimu mkuu Shamsuddin, akimkabidhi zawadi maalum ( Jogoo) mgeni rasmi wa bonanza hiyo Juma Rashid ambaye ni mjumbe wa bodi ya shule.
mwalimu mkuu shamsuddin akibadilishana mawazo na baadhi ya wajumbe wa kamati ya maandalizi.

0 comments:

Post a Comment