Khutba
ya Swala ya Eidul fitri ulitolewa na kuongozwa na Sheikh Abdulaziz
Hafidhahullah na kutoa ujumbe kwa Serikali kibaraka wa Tanzania juu ya
kuendelea kuwasakama Waislaam wasio na hatia katika mjiji mbalimbali
nchini Tanzania.
Sheikh
Abdulaziz ameikumbusha na kuitahadhrisha Serikali ya Tanzania kuifuata
njia ya Serikali ya Kenya ya kuivamia Ardhi ya Somalia pamoja na kuonywa
kwake kabla lakini ilijiingia na kuivamia Kijeshi lakini amesema Shekhe
matokeo yake leo ndio inashuhudiwa yanayowakuta wananchi wa Kenya na
Serikali yao kwa ujumla wako taabani kutokana na matunda ya vita
isiyoiweza.
Shekhe
pia amegusia madhila ya Waislaam wa Zanzibaar na Mwanza ambao ndugu zao
wanahangaika kuwatafuta pasina kuujua wanazuiliwa wapi na kuongeza kuwa
Serikali Kibaraka ya Tanzania milango inayotaka kuufungia itashindwa
kuufunga.
''..kenya
ilitahadharishwa kuwavamia waislam wa Somalia imefungua mlango
inayoshindwa kuufunga,haikusikia na sasa yahangaika kuufunga mlango
ilioufungua yenyewe,na Twaiambia serikali ya Tanzania kuwa kwa kuwashika
magerezani waislam wa Arusha,Mwanza,Zanzibar na kwingineko kwa
kisingizio cha ugaidi,shikashika imekuwa sasa watu Znz hawajui ndugu zao
walipo inataka kufungua mlango ambao itashindwa kuufunga",alisema Al
Akh Abdulaziz Hafidhahullah.
Katika
siku za hivi Karibuni Serikali ya Tanzania imeanza kutekeleza mradi wa
kupambana na uislaam katika miji mbalimbali nchini kwa kuwakamata
waislaam wasio na hatia na kuwafungulia kesi za Ugaidi huko wengine
wakiuawa pasina kujulikana na kupigwa vibaya.
July
13,2014,Maaskari wa Kupambana na Uislaam walivamia nyumba na Markaz ya
Sheikh Abuu Ismail Ibrahim Fakallaahu Asra iliyopo jijini mwanza na
kumpiga yeye na Mwanfunzi wake huko wakimdhalilisha Mke wa Shekhe kwa
kumvua Nguo na kisha waliondoka na Al Akh Abuu Ismail Fakallahu Asra.
Mpaka
Sasa hajulikani Shekhe Abuu Ismail sehemu anakoshikiliwa yeye na baadhi
ya Wanafunzi wake waliokamatwa ingawa kuna taarifa isiyothibitishwa
inadai kuwa wanamshkilia Mji wa Arusha na mpaka sasa hajafikishwa
Mahakamani kitendo ambacho ni kinyume na Sheria za kimataifa na haki za
Binaadamu.
Habari hizi kwa msaada wa mtandao nchini somalia
0 comments:
Post a Comment