Raia wa Chad wakiwa uwanja wa ndege tayari kuondoka mjini Bangui
Mamia ya raia wa Chad waishio nchini Jamhuri ya Afrika ya
Kati wameendelea kukimbia wakirejea makwao kutokana na mashambulizi
baina ya Wakristo na Wasilamu yanayoendelea kushuhudiwa.
Misafara ya
raia hao imeonekana ikiondoka mjini Bangui kuanzia siku ya ijumaa chini
ya ulinzi wa walinda amani.
Hatua hiyo imechochewa na jamii ya Wakristo ambao wameanza
kuwalenga baada ya raia wa Chad na wanajeshi wao waliopo nchini humo
wakiwashutumu kuwasaidia wapiganaji wa Seleka ambao ni waislamu.
Sudan nayo imesema itafuata nyayo za Chad na kuwaondoa raia wake takribani 275 kwa ndege leo jumapili, kutokana na usalama kuzidi kuzorota.
Majeshi ya Ufaransa na Afrika yanajitahidi kurejesha usalama uliozorota toka mwezi machi mwaka huu wakati kundi la Seleka lilipochukua madaraka baada ya kumpindua Rais wa zamani Francois Bozize, lakini jitihada hizo zimezidi kupata changamoto.
Umoja wa Mataifa umesema utaharakisha mpango wa kupeleka kikosi chake cha kulinda amani, wakati ikiripotiwa kuwa watu zaidi ya elfu moja wameuawa toka kuanza kwa mapigano makali takribani majuma matatu yaliyopita.

Huang Chuncai has undergone surgery to remove huge 3.3lb (1.5kg) tumours
from his faceThe 37-year-old suffers from neurofibromatosis, the name
for a number of genetic conditions that cause swellings or lumps. Huang
is said to have the world's worst recorded case of itOn Wednesday he
underwent another round of surgery at a hospital in Guangzhou to remove
the tumour from his left cheekThe operation was successful and he will
now have two more to try and get his condition under control, Chinese
media reportedBwana mmoja aliefahamika kwa jina la Huan Chuncai mweny
umri wa miaka 37 mkazi wa jimbo la Hunan anasumbuliwa na tatizo la nyama
kukua kwa kasi katikakichwa chake hususan maeneo ya uso,ugonjwa ambao
umetambulika kama neurofibromatosis ambao husababishwa na ukuwaji wa
cell ambalo ni moja ya matatizo ya kijetiksia.
kwa mujibu wa the dailymail kijana huyo amesumbuliwa na tatizo hilo
toka angali mdogo akiwa na umri wa miaka minne.Tayari amekwisha fanyiwa
opesheni mara mbili kabla katika miaka tofauti tofauti (yaani mwaka 2007
na mwka 2008).Huan amepoteza meno yake yote akiwa na umri wa miaka 25
hali inayompelekea apate shida kwenye kuongea pamoja na kula.
Kijana huyo ambae amekuwa akiitwa 'China's Elephant Man amekuwa akiishi
kwa shida sana,kwa mika mitano iliyopita nyama hizo zilikuwa na uzito wa
33lb (15kg) na kumsababishia matatizo ya uti wa mgongo kupelekea
maumivu makali anayoyapata kutokana na kuongezeka kwa nyama hizo.
Huan amefanyiwa opesheni tena kuondoa nyama hizo kwa sasa zilizokuwa na
uzito wa 3.3lb (1.5kg).
Opesheni yake huwa ni ya hatari sana kwani hupelekea kuvuja kwa damu
nyingi sana mwili mwake.
BUSTANI YA HABARI
Original from: http://www.googlehabari.blogspot.com/2013/12/afanyiwa-opesheni-baada-ya-nyama-kubwa.html
Copyright EXEIdeas - All Rights Reserved

Habari Motomoto :
MH MBUNGE ABDUL AZIZ ABOOD AENDELEA KUKIIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI
MKOA WA MOROGORO Friday, December 27, 2013
BUSTANI YA HABARI
Wallpapers
Contact Us
Simulizi
Michezo
Mambo adimu
Scholarship
Makala
Video mbalimbali
Habari
Siasa
Dondoo
Home
CONTACTS
SIMULIZI
MASHAIRI
WALLPAPERS
LIGI KUU BARA
A'&O' LEVEL VITABU
27 December 2013
KIJANA APOTEZA MAISHA MKOANI MOROGORO BAADA YA KUJARIBU KUIBA NYAYA
ZA UMEME MAENEO YA LITI
27 December 2013
HALI YA KUSHANGAZA YAJITOKEZA ENEO LA BENKI KUU,MOSHI MZITO WAIBUKA
27 December 2013
HUU NDIO MTAMBO MAALUMU WA KUZUIA WEZI KATIKA MAJUMBA NA BANK
27 December 2013
SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA YA TAREHE 27/12/2013
28 December 2013
BINTI WA KITANZANIA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI CHINA
28 December 2013
MANCHESTER UNITED WAFUKUZA MWIZI KIMYA KIMYA
28 December 2013
PAMOJA UFAULU KUONGEZEKA SERIKALI INAHITAJIKA KUTIZAMA KWA MACHO
MATATU MASWALA HAYA
28 December 2013
SERIKALI YATANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI WATAKAO JIUNGA NA ELIMU YA
SEKONDARI 2014
27 December 2013
HUU NDIO UJUMBE WA MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU UNAOTIKISA VICHWA VYA
WANASIASA
27 December 2013
MH MBUNGE ABDUL AZIZ ABOOD AENDELEA KUKIIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI
MKOA WA MOROGORO
27 December 2013
AFANYIWA OPESHENI BAADA YA NYAMA KUBWA KUFUNIKA KICHWA CHAKE
27 December 2013
MAKUMI YA WATU WENYE SILAHA WAIZUNGUKA BENKI NCHINI LIBYA
27 December 2013
KIJANA APOTEZA MAISHA MKOANI MOROGORO BAADA YA KUJARIBU KUIBA NYAYA
ZA UMEME MAENEO YA LITI
27 December 2013
HALI YA KUSHANGAZA YAJITOKEZA ENEO LA BENKI KUU,MOSHI MZITO WAIBUKA
27 December 2013
HUU NDIO MTAMBO MAALUMU WA KUZUIA WEZI KATIKA MAJUMBA NA BANK
27 December 2013
SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA YA TAREHE 27/12/2013
28 December 2013
BINTI WA KITANZANIA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI CHINA
28 December 2013
MANCHESTER UNITED WAFUKUZA MWIZI KIMYA KIMYA
28 December 2013
PAMOJA UFAULU KUONGEZEKA SERIKALI INAHITAJIKA KUTIZAMA KWA MACHO
MATATU MASWALA HAYA
28 December 2013
SERIKALI YATANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI WATAKAO JIUNGA NA ELIMU YA
SEKONDARI 2014
Home » HABARI ZA KIMATAIFA » AFANYIWA OPESHENI BAADA YA NYAMA KUBWA
KUFUNIKA KICHWA CHAKE
AFANYIWA OPESHENI BAADA YA NYAMA KUBWA KUFUNIKA KICHWA CHAKE
Written By umar makoo on Friday, December 27, 2013 | 1:16 PM
Huang Chuncai has undergone surgery to remove huge 3.3lb (1.5kg) tumours
from his faceThe 37-year-old suffers from neurofibromatosis, the name
for a number of genetic conditions that cause swellings or lumps. Huang
is said to have the world's worst recorded case of itOn Wednesday he
underwent another round of surgery at a hospital in Guangzhou to remove
the tumour from his left cheekThe operation was successful and he will
now have two more to try and get his condition under control, Chinese
media reportedBwana mmoja aliefahamika kwa jina la Huan Chuncai mweny
umri wa miaka 37 mkazi wa jimbo la Hunan anasumbuliwa na tatizo la nyama
kukua kwa kasi katikakichwa chake hususan maeneo ya uso,ugonjwa ambao
umetambulika kama neurofibromatosis ambao husababishwa na ukuwaji wa
cell ambalo ni moja ya matatizo ya kijetiksia.
kwa mujibu wa the dailymail kijana huyo amesumbuliwa na tatizo hilo
toka angali mdogo akiwa na umri wa miaka minne.Tayari amekwisha fanyiwa
opesheni mara mbili kabla katika miaka tofauti tofauti (yaani mwaka 2007
na mwka 2008).Huan amepoteza meno yake yote akiwa na umri wa miaka 25
hali inayompelekea apate shida kwenye kuongea pamoja na kula.
Kijana huyo ambae amekuwa akiitwa 'China's Elephant Man amekuwa akiishi
kwa shida sana,kwa mika mitano iliyopita nyama hizo zilikuwa na uzito wa
33lb (15kg) na kumsababishia matatizo ya uti wa mgongo kupelekea
maumivu makali anayoyapata kutokana na kuongezeka kwa nyama hizo.
Huan amefanyiwa opesheni tena kuondoa nyama hizo kwa sasa zilizokuwa na
uzito wa 3.3lb (1.5kg).
Opesheni yake huwa ni ya hatari sana kwani hupelekea kuvuja kwa damu
nyingi sana mwili mwake.
BUSTANI YA HABARI
inawaomba wasomaji wake wote kumuombea dua kijana huyu kwa lugha yoyote
ili mradi M/Mungu aweze kumpatia unafuu na hatimaye kupona kabisa
BannerFans.com
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by BUSTANI YA HABARI Enhanced by
OMARI MAKOO
Share this article :
Related articles
WANANDOA WAPYA WAFUNGA NDOA WAKIWA WATUPU HUKO SAN FRANSISCO
HALI YA AFRIKA MASHARIKI BADO TETE,NCHI HATIANI KUGAWANYWA
RAISI MURSI ALIEPINDULIWA MADARAKANI NA JESHI AONGEZEWA MASHTAKA YA
KIJUBU
UGANDA WAPIGA MARUFUKU VAZI LA KIMINI NCHINI HUMO
UZINDUZI WA SANAMU YA HAYATI NELSON MANDELA
AFANYIWA OPESHENI BAADA YA NYAMA KUBWA KUFUNIKA KICHWA CHAKE
Labels: HABARI ZA KIMATAIFA
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !
Newer Post Older Post Home
Index
HABARI ZA MICHEZO
MANCHESTER UNITED WAFUKUZA MWIZI KIMYA KIMYA
28 December 2013
Timu ya Manchester united yafukuza mwizi kimya kimya baada ya
kuonekana kupotea kwenye mbio za bing... Read more
MATUMLA AFANYA KWELI ULINGONI KWA KUMCHAPA MPINZANI WAKE NASIBU
RAMADHANI
JUMA KASEJA AFUNGUKA SABABU YA KUTOMPA MKONO IVO MAPUNDA
TAZAMA PAMBANO ZIMA LA JINSI FRANCIS CHEKA ALIVYOPOTEZA MCHEZO DHIDI
YA FEDOR CHUDINOV HUKO RUSSIA
GWIJI LA SOKA BONGO EDIMILY LUNYAMILA ANAPUMILIA MASHINE BAADA
KUSUMBULIWA NA MATATIZO YA KIFUA
Index
MATUKIO MBALI MBALI
KIJANA APOTEZA MAISHA MKOANI MOROGORO BAADA YA KUJARIBU KUIBA NYAYA
ZA UMEME MAENEO YA LITI
27 December 2013
Hapo jana tarehe 26/12/2013 Kijana mmoja ambae jina lake
halikubahatika kufahamika amepoteza ... Read more
HALI YA KUSHANGAZA YAJITOKEZA ENEO LA BENKI KUU,MOSHI MZITO WAIBUKA
KAMA UNGELIKUWA WEWE UNGEFANYAJE??????????????????
BREAKING NEWS:MAITI YAKUTWA NA KETE ZA MADAWA YA KULEVYA MKOANI
MOROGORO
KIJANA ASHAMBULIWA VIKALI NA WANANCHI KWA KOSA LA KUTAKA KUIBA PIKI
PIKI
WEKA TANGAZO HAPA
WEKA TANGAZO HAPA
UNGANA NASI TWITTER
THE BEST GRAPHIC/BLOG DESIGNER
THE BEST GRAPHIC/BLOG DESIGNER
HABARI ZILIZOTAMBA
BOFYA HAPA KUTIZAMA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2013
HII NDIO LIST MPYA,YAANI TOP 10 YA WATU MATAJIRI NCHINI TANZANIA
SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA YA TAREHE 27/12/2013
TAZAMA PAMBANO ZIMA LA JINSI FRANCIS CHEKA ALIVYOPOTEZA MCHEZO DHIDI
YA FEDOR CHUDINOV HUKO RUSSIA
HUU NDIO UJUMBE WA MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU UNAOTIKISA VICHWA VYA
WANASIASA
WANANDOA WAPYA WAFUNGA NDOA WAKIWA WATUPU HUKO SAN FRANSISCO
KAMA UNGELIKUWA WEWE UNGEFANYAJE??????????????????
SERIKALI YATANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI WATAKAO JIUNGA NA ELIMU YA
SEKONDARI 2014
BREAKING NEWS:MAITI YAKUTWA NA KETE ZA MADAWA YA KULEVYA MKOANI
MOROGORO
Search This Blog
FAHARI YA TANZANIA
Republic of Tanzania
human clock
Subscribe To
Posts
Comments
Follow by Email
Google+ Followers
Translate
Powered by Translate
je wewe ni mjanja??jiunge sasa..!!
Home
contacts
usiyoyajua
matukio
designing
Simulizi
Support : Creating Website | Omari Makoo | Makoo web designer
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. BUSTANI YA HABARI - All Rights Reserved
makoo web designer
Yote haya ni BUSTANI YA HABARI:The best designer - tengeneza blog kama
hii hapa
Template Design by BUSTANI YA HABARI Published by Omari Makoo

Post a Comment