Nov 12, 2013

MSIKITI WA AJABU KUZINDULIWA


HUU NI MASJID SULTAN AHMAD,UTURUKI
Kuna taarifa njema kwa waislamu kwamba msikiti wa ajabu utazinduliwa ijumaa hii.

Msikiti huo wenye ukubwa wa mita za mraba 1,200 umejengwa chini ya ardhi upo katika mji wa Stanbul wilaya ya Buyuckemece nchini Uturuki.
Kwa mujibu wa taarifa zilizo tufikia ni kwamba msikiti huo wa aina yake upo katika ramani ya jabal hiraah na upo umbali wa mita saba kutoka chini ya uso wa ardhi ambao umeanzwa kujenga tokea mwanzoni mwa mwaka 2011.

Nchi ya uturuki ina waislamu wapatao asilimia 99 na ina misikiti mikubwa mikubwa ukiongozwa na Masjid Sultan Ahmad.


0 comments:

Post a Comment