Hawa ni baadhi ya waliohudhuria tamasha la elimu ambalo limeanza
hivi punde,Tamasha hilo limeandaliwa na madrasat Muumin ya Mwembe shauri
ya Michenzani Zanzibar
Mwanafunzi Kauthar Mbaraka wa Madrasat Muumin ya Zanzibar akiwasilisha Mada ya katika tamasha la elimu linaloendelea hivi sasa
Mtoto Abdallah Ally wa Munira Madrasa akiwasilisha Mada
Mtoto Hassan Sharif kutoka Munira Madrasa ya Dar es salaam naye akiwasilisha Mada
Khuzayma Bint Khamis kutoka Madrasat Muumin ya Zanzibar akitoa Mada
Ramadhan Juma Rashid Mwanafunzi kutoka Munira Madrasa akiwasilisha Mada katika Tamasha la Elimu linaloendelea hivi sasa
Huyu ni Mtoto pekee mwenye Umri mdogo akiwasilisha Mada ya Hadithi
Usikose kufuatilia Matangazo yetu ya moja kwa moja kutokaVisiwani Zanzibar
Picha na Habari kutoka Mwanahabari wetu Said Mohammed.
0 comments:
Post a Comment