Polisi wa Uganda wamezuia kundi la wanawake waliopanga kuandamana kupinga sheria inayopiga marufuku picha chafu.
Wanawake hao waliopanga kuandamana mjini Kampala walibeba mabano kupinga sheria mpya baadhi wakuvalia mavazi mafupi.
Baadaye walikubaliwa kukusanyika katika uwanja nje ya ukumbi wa kitaifa.
0 comments:
Post a Comment