Nov 25, 2013

PICHA NA MATUKIO YA SEMINA YA AKINA MAMA WA KIISLAMU

 Mwishoni mwa wiki Kituo cha Kiislamu Cha Kimisri kilichopo Chang'ombe Jijini Dar es salaam,kilifanya semina maalumu kwa akina mama wa kiislamu kwa lengo la kuwa fahamisha umuhimu wa majukumu yao.

kauli mbiu ya semina hiyo ilikuwa "Nafasi ya Mwanamke wa Kiislamu katika kueneza Ufahamu Sahihi wa Kiislamu"

Zifuatazo ni Picha za Matukio Hayo






 












0 comments:

Post a Comment