Feb 19, 2015

TAZAMA PICHA YA MTU ALIYEPATA KIPIGO TAKATIFU BAADA YA KUMLAWITI MTOTO

 
Huyu ni fundi saa ambaye hakufahamika jina lake mara baada ya kupokea kipigo kikali kutoka kwa wananchi wenye hasira baada ya kumtuhumu kumlawiti mtoto wa kiume ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu wa shule moja jijini Arusha

NJEMBA mmoja ambaye ni fundi saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha leo amepokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa darasa la tatu wa shule moja jijini humo.

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

0 comments:

Post a Comment